Wake JQQ Fresh Drink
(Fresh Drink Jiuqingqing)(Solid Beverage)
Viungo:
Grape Powder, Corn Oligopeptide, Radix Et Rhizoma Glycyrrhizae, Semen Hoveniae, Radix Puerariae Lobatae, Rhizoma Curcumae Longae, Fructus Mori, Fructus Lycii, Chitosan Oligosaccharide, Hyriopsis Cumimgii Polysacchride
Kazi Na Faida Zake
- Inasaidia kubadili alcohol kuwa acetate kwa kuongeza utolewaji wa vimeng'enya (enzymes) vinavyofanya kazi hiyo kwenye ini;
- Huyaongezea maini vitamini zinazohusika na uvunjaji wa alcohol;
- Ina uwingi wa antioxidants zinazopambana na free radicals katika ini wakati wa shughuli za kimetaboliki;
- Kupunguza uharibifu wa seli za ini unaosababishwa na alcohol na sumu nyingine.
Yafaa Kwa:
- Watu wanaotumia sana pombe;
- Watu walio kwenye tiba kwa muda mrefu;
- Watu wanaokula junk foods mara nyingi au wanaoishi kwenye mazingira yaliyochafuliwa.
Maelezo Muhimu:
Inasaidia katika uvunjwaji wa pombe na kupunguza madhara ya alcohol kwenye seli za ini.
.
<<<<< MWANZO